Site icon Current News

Simba yafanya mazoezi ya kwanza Zanzibar kuiwinda Stellenbosch



TIZI LA SIMBA ZANZIBAR: “Tukipata matokeo mazuri hapa Zanzibar, tutafuzu” maneno ya beki wa Simba SC, Che Fondoh Malone akizungumzia mechi yao ya mkondo wa kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Stellenbosch.

Mechi itapigwa Aprili 20, 2025 katika dimba la Amaan Zanzibar.

#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #SimbaSC #Stellenbosch

Exit mobile version