Afrika Kusini yatwaa ubingwa kwa vijana chini ya miaka 20 Afrika
Afrika Kusini ndio mabingwa wapya wa mchuano wa afcon kwa vijana wa chini ya miaka 20 uliokamilika jana usiku nchini Misri. Hii ni baada ya kuilaza Morocco bao moja bila jibu uwanjani 30th June mjini Cairo.