Baadhi ya wakazi wapinga nyumba zijengwe kwenye ardhi ya shule
Eneo bunge la Malindi linatazamiwa kupata ujenzi wa nyumba za bei nafuu na chuo cha mafunzo ya matibabu KMTC ambapo kipande cha ardhi cha ekari 20 cha Shule ya Upili ya Malindi kimetengwa kwa ajili ya miradi hiyo