Bunge yaanzisha uchunguzi wa biashara ya Figo
Kamati ya bunge kuhusu afya imeanzisha uchunguzi kuhusiana na madai ya biashara haramu ya uzaaji wa viungo haswa figo, katika hospitali ya Mediheal. Haya yanajiri huku wasimamizi wa hospitali hiyo wakijitetea kwamba wako tayari kwa uchunguzi ulioanzishwa na serikali.