Elimu Yapigwa Jeki Kajiado Magharibi
Kiwango cha elimu katika eneobunge la Kajiado magharibi kinatarajiwa kuinuka baada ya shirika la Together with Kenya kuanza ujenzi wa taasisi ya elimu ambayo itatoa masomo kwanzia shule ya msingi hadi chua cha mafunzo anuwai kwa wanafunzi kutoka Jamii masikini.