Familia Mombasa yailamu utepetevu wa madaktari baada ya mpendwa kufariki Port Reitz
Familia moja miongoni mwa familia nyingi mjini Mombasa, imejitokeza kukosoa utepetevu wa madaktari katika hospitali ya Port Reitz baada ya mpendwa wao kufariki katika hospitali hiyo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya