Gavana Achani amesema ardhi inayomiliki msikiti wa kihistoria Kongo haitanyakuliwa
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amewahakikishia jamii ya waislamu kuwa ardhi inayomilikiwa ya msikiti wa kihistoria wa Kongo eneo la Diani haitanyakuliwa na mabwenyenye.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya