Haki za walemavu
Idara ya kushughulikia watu wanaoishi na ulemavu nchini kwa ushirikiano na mashirika ya kutoa mafunzo ya uwekezaji imeanza ziara katika kaunti zote 47 kuwahamasisha walemavu kuhusu jinsi wanavyoweza kuwekeza misaada wanayopokea kutoka kwa serkali.