Historia ya upapa
Kutoka kwa mvuvi wa kawaida hadi kuwa kiongozi anayeheshimiwa kote ulimwenguni, historia ya upapa ni simulizi ya imani, ustahimilivu, na kumbukumbu ya zaidi ya miaka elfu mbili. Mary Muoki anaangazia historia ya upapa ambayo ni simulizi ya imani na uongozi wa kujitolea. Kuanzia Mtakatifu Petro hadi Papa Francis, tunatazama baadhi ya Mapapa waliolijenga Kanisa Katoliki.