Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja azuru eneo hilo
Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja anaongoza mkutano wa amani katika eneo la Ang’ata Barikoi kaunti ya Narok ambako watu watano waliuawa na wengine kujeruhiwa hapo jana kutokana na mzozo wa ardhi