Janet Moraa Bundi ni mshambulizi wa timu ya taifa ya kandanda ya kina dada Harambee Starlets amawiri
Janet Moraa Bundi ni mshambulizi wa timu ya taifa ya kandanda ya kina dada Harambee Starlets. Na pia anachezea timu ya Benki ya kitaifa ya Misri huko Zamalek jijini Cairo. Moraa akiwa ameiteka ligi kuu ya wanawake nchini humo na kumaliza msimu kama mfungaji wa pili bora.