| JUKWAA LA AFYA | Afya ya Uzazi ya Wanaume
Wanaume wakizeeka hupungukiwa na nguvu za kiume
Tunaangazia magonjwa na tiba ya uzazi wa wanaume
Lishe na mtindo wa maisha huathiri afya ya wanaume
Baadhi ya maradhi yanaweza kusababisha ugumba
Msongo wa mawazo pia huathiri afya ya uzazi ya wanaume
Ni bora kumwangalia mtoto wa kiume iwapo anakua vizuri
Korodani za mtoto zinapaswa kushuka na wala si kukaa ndani