Kampuni za simu zaagizwa na mahakam kuu kutohitilafiana na data
Mahakama imeiagiza serikali kutozima huduma za intaneti au mitandao ya kijamii wakati wa maandamano. Hii ni kufuatia kesi iliyowasilishwa na mashirika mbalimbali yakilalamika kuwa huenda serikali ikakiuka haki za raia kama ilivyofanya wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha na mitihani ya kitaifa.