Kauli ya ya rais William Ruto kuhusu watu waliotekwa nyara yakabiliwa na shaka na gadhabu
Kauli ya ya rais William Ruto mnamo mei 12, 2025 kwamba wakenya wote waliotekwa nyara mwaka wa 2024 wamerudishwa nyumbani kwao salama u salmini imekabiliwa na shaka na gadhabu.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya