Kazi kwa Junior Starlets watakapochuana na Baby Lionesses Cameroon bada ya kupoteza mechi
Timu ya taifa ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17, Junior Starlets, waliondoka nchini leo asubuhi kueleka jijini Yaounde kwa mechi ya raundi ya tatu mkondo wa pili dhidi ya Cameroon.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya