Kenya Simbas inaendeleza mazoezi kwa maandalizi ya kombe la raga la Afrika 2025
Timu ya Kenya Simbas inaendeleza mazoezi yake katika uwanja wa mchezo wa raga wa Kakamega show grounds mjini Kakamega kwa maandalizi ya kombe la raga la Afrika 2025.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya