Kijana amkatakata babake kwa shoka kisha kumtetekeza hadi kufa huko Nyamira
Maafisa wa polisi wanamzuilia kijana mmoja anayedaiwa kumvamia na kumkatakata babake kwa shoka na kisha kumtetekeza hadi kufa huko Mugirango kaskazini, katika kaunti ya Nyamira