Kilio Cha Wahudumu Wa Afya
Wahudumu wa afya kwa wote wamekataa mipango ya serikali ya kuwahamishia serikali za kaunti kuanzia julai mwaka huu. Wahudumu hao wa afya ambao waliajiriwa wakati wa janga la COVID-19, wameitaka wizara ya afya kuwapa kandarasi za kudumu kabla ya kuwahamisha.