Kombe la FKF robo fainali
Safari ya mara Suga FC kwenye kombe la FKF iliendelea Jumatano alasiri ilipopata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya compel katika mechi ya mwisho ya robo fainali iliyochezwa mjini Kisumu. Mechi hiyo ilicheleweshwa kufuatia rufaa ya AFC Leopard baada ya kuondolewa kwenye mashindano hayo.