LIVE: CHAMA LA WANA DOUBLE XXL NA ZAIID | 08/05/2025
Chama la wana, chama la wajanja Double XXL la Meena Ally, Kenedy The Remedy, John Jackson, Soudy Brown na James Tupatupa liko pamoja nawe kuhakikisha unashiba infortainment zote za duniani ikiwa ni pamoja na interviews kali katika Large Room #XXL #XXLCloudsFM #AsanteKwaTafuu