LIVE: CLOUDS 360 KUTOKA MJENGONI I UONGOZI WA VIONGOZI NANE WA CHADEMA UMETENGULIWA I 14.5.2025
Malalamiko yake yamesikilizwa na Msajili wa Vyama, maamuzi yamefanyika na taarifa imetoka kuwa uongozi wa viongozi wanane wa CHADEMA umetenguliwa rasmi na ofisi ya msajili wa vyama.