LIVE: CLOUDS 360 SPECIAL KUTOKEA DODOMA I KURASA 365 ZA MAMA VOL. IV I 26.4.2025
Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tayari imetimiza miaka minne tangu ilipoingia madarakani.Timu ya taifa #Clouds360 kuanzia 12:30 live on @Cloudstv