LIVE: MUZIKI WA SINGELI UMEKUWA AU MASHABIKI NDIO WANAUZINGATIA SASA HIVI?? | 28\04\2025
Chama la wana, chama la wajanja Doubl XL la Meena Ally, Kenedy The Remedy, John Jackson, Soudy Brown na James Tupatupa liko pamoja nawe kuhakikisha unashiba infortainment zote za duniani ikiwa ni pamoja na interviews kali katika Large Room #XXL #XXLCloudsFM #AsanteKwaTafuu