LIVE:CHAMA LA WANA XXL | 23.05.2025
Chwana, chama la wajanja Doubl XL la Meena Ally, Kenedy The Remedy, John Jackson, Soudy Brown na James Tupatupa liko pamoja nawe kuhakikisha unashiba infortainment zote za duniani ikiwa ni pamoja na interviews kali katika Large Room #XXL #XXLCloudsFM #AsanteKwaTafuu