Maafisa 6 wa KWS kuzuiliwa kwa siku sita zaidi Nakuru kuhusiana na mauaji ya Brian Odhiambo
Maafisa sita wa shirika la huduma kwa wanyama pori KWS watazuiliwa kwa siku saba zaidi huku uchunguzi wa kutoweka kwa mvuvi Brian Odhiambo ukiendelea. Mahakama ya Nakuru imetoa uamuzi huu baada ya maafisa hao kukana mashtaka ya kuhusika na kutoweka kwa Brian kwenye mbuga ya Nakuru.