Mabingwa wa ligi kuu ya wanawake kujulikana Jumamosi
Mabingwa wa ligi kuu ya wanawake ya FKF watajulikana Jumamosi baada ya Ulinzi Starlets kupewa pointi zote tatu za mechi yao dhidi ya Zetech Sparks. Kamati ya ligi na mashindano ya FKF imewapa Ulinzi Starlets FC pointi hizo baada ya wanajeshi hao kukata rufaa.