Madaktari wafanya upasuaji wa kwanza wa ubongo Makueni
Kaunti ya Makueni imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya baada ya upasuaji wa kwanza wa ubongo kufanyika katika hospitali ya rufaa ya kaunti hiyo . upasuaji huo ukiwa mwanga kwa wakazi wa kaunti hiyo ambao wamekuwa wakigharamika mno kupata hudumu muhimu za upsuaji.