Mahanagiko ya Familia Mavoko
Maafisa wawili wa kaunti ya Mombasa wamesimamishwa kazi kwa muda kufuatia kuzama na kisha kuporomoshwa kwa jengo la ghorofa 10. Mwili wa jamaa aliyekuwa ndani ya jengo kabla ya kuangushwa umetolewa na kuzikwa hii leo huku mashirika ya kutetea haki yakitaka uchunguzi kuharakishwa na familia ya Yusuf Ali Abdi aliyefariki kupata haki. Francis mtalaki anaarifu kutoka Mombasa.