Martha Karua arejea nchini baada ya kufurushwa nchini Tanzania
Kinara wa Chama cha People’s Liberation Party (PLP) Martha Karua amerejea nchini baada ya kufurushwa nchini Tanzania.
Karua pamoja na mawakili wengine wawili, walizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya