Mashirika yatoa hamasisho kukabili mauaji ya wanawake
Vijana wanaoshiriki mchezo wa pool unaoendeshwa na kampuni inayohusu vijana ya Lipalikes kwa ushirikiano na duka la jumla la Quickmart, wamepata mafunzo muhimu ya kupinga dhuluma ya kijinsia ikiwa ni pamoja na kuelewa maisha yao.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya