Mhasibu wa KERRA Kajiado atuhumiwa kwa ufisadi
Mahakama ya Kajiado inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu iwapo itakubali dhamana na kutoa amri ya kukamatwa kwa mshukiwa wanne kwenye kesi ambapo Mhasibu wa mamlaka ya kusimamia barabara za mashinani KeRRA Kajiado anatuhumiwa kutumia nafasi yake kuwapa Jamaa zake zabuni ya kutengeneza barabara.