Mtangazaji Edward Kwach afariki
Jamaa, marafiki, na wanahabari nchini Kenya wanaomboleza kifo cha mtangazaji mkongwe wa redio, Edward Carey Kwach, aliyefariki jana usiku akipokea matibabu katika hospitali ya Coptic jijini Nairobi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya