NaibuJaji Mkuu Philomena Mwilu akabiliwa na ombi jipya la kutaka kuondolewa kwake afisini
Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu anakabiliwa na ombi jipya lililowasilishwa kwa Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) likitaka aondolewe afisini.
Ombi hilo limewasilishwa na Belinda Egesa kupitia kwa wakili wake Suleiman Bashir, na linahusishwa na uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Rufaa ambao ulisema kuwa Mwilu hakufaa kuunda jopo la majaji lililobatilisha amri za kuzuia kuapishwa kwa Naibu Rais Kithure Kindiki mwaka jana.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya