Nywele za Migomba Nyamira
Hebu fikiri hili mtazamaji, nywele zilizotengezwa kutokana na taka za nzidi. Naam, huu ndio mtindo mpya unaoanza kushika kasi miongoni mwa wakulima wa ndizi kaunti ya Nyamira. Wakulima hawa wamebuni mbinu maalum inayogeuza mabaki ya ndizi si tu kuwa nywele bali pia bidhaa nyinginezo.