Papa Francis akumbukwa kwa huduma yake ulimwenguni
Upapa wa Papa Francis uliundwa kwa njia kubwa na maisha yake ya awali yaliyojaa unyenyekevu huko Argentina. Akiwa Papa wa kwanza kuchaguliwa kutoka nje ya mataifa ya Ulaya, Papa Francis alijitolea kuleta mabadiliko katika Kanisa Katoliki, na kukabiliana na changamoto zake za kihistoria. Brenda Wanga anatupa safari ya Papa huyu wa 266 kushika wadhifa huo wa juu katika Kanisa Katoliki.