Papa Francis kuzikwa Jumamosi 26 April 2025
Mwili wa Papa Francis utalazwa katika kanisa kuu la St. Peter Basilica kwa siku tatu kuanzia Jumatano, ili kuwapa waumini fursa ya kutoa heshima zao kabla ya misa ya mazishi itakayofanyika Jumamosi asubuhi na kisha mazishi yake siku hiyo. Makadinali wataongoza msafara wa kuusindikiza mwili huo