Polisi wavamia kituo cha kutengeneza chang'aa Soweto, Nairobi na kunasa chang'aa lita 700
Maafisa wa polisi walivamia kituo cha kutengeneza chang’aa na busaa katika mtaa wa Soweto, mjini Nairobi na kuharibu chang’aa lita 700, huku muuzaji wa bidhaa hiyo David Nabwana akifanikiwa kutoroka.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya