Rachel Ruto azindua masomo ya bustani za nyumba
Mke wa Rais Rachel Ruto amezindua mpango wa kitaifa uitwao Mama Kitchen Garden, huko Eldama Ravine, Kaunti ya Baringo, wenye lengo la kupambana na upungufu wa madini ya chuma na utapiamlo miongoni mwa wanafunzi katika kaunti zote 47.