Sheria ya uhifadhi wa wanayamapori kufanyiwa marekebisho
Kenya inatazamiwa kufanyia marekebisho mfumo wake wa usimamizi wa wanyamapori kupitia sheria inayopendekezwa inayolenga kufanya uhifadhi wa kisasa, kuboresha manufaa ya jamii, na kuhakikisha usimamizi endelevu wa wanyamapori.