#TBC: WEKEZA TANZANIA: WATANZANIA NA FURSA ZA SOKO NA UWEKEZAJI DRC
Kipindi hiki cha Wekeza Tanzania moja kwa moja kutoka site Mjini Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, tunakuletea uzoefu wa watanzania wanaofanya biashara nchini humo, ambapo wanaeleza fursa za soko la bidhaa mbalimbali kutoka Tanzania nchini humo.
Wekeza Tanzania ni kila jumanne saa 12:00 jioni TBC1 na marudio Jumatano 7:30 mchana na kwenye YouTube channel yetu ya TBCONLINE.
Mtangazaji: Vumilia Mwasha
Mwongozaji: Neligwa Mugittu
Mdhamini: Azania Benki