#TBC1 WEKEZA TANZANIA: UNDANI UWEKEZAJI KIWANDA CHA MABATI
Kipindi hiki cha Wekeza Tanzania kinakupeleka moja kwa moja Kibaha Mkoani Pwani, ukashuhudie maendeleo ya uwekezaji wa kiwanda cha mabati nchini Tanzania, ambapo tunaangazia kiwanda cha mabati cha Kinglion ambacho kinaelezwa kuwa kikubwa zaidi kwa ukanda wa Afrika Mashariki
Wekeza Tanzania ni kila jumanne saa 12:00 jioni TBC1 na marudio Jumatano 7:30 mchana na kwenye YouTube channel yetu ya TBCONLINE.
Mtangazaji: Vumilia Mwasha
Mwongozaji: Neligwa Mugittu
Mdhamini: Azania Benki