Uharibifu wa mali ya umma Makueni limechangia hasara ya milioni 45 ndani ya mwaka mmoja
Kaunti ya Makueni imekumbwa na uharibifu na wizi wa raslimali suala ambalo limechangia hasara ya milioni 45 ndani ya mwaka mmoja na kuathiri huduma kwa maelfu ya wakazi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya