Ujenzi wa shule mpya ya Burangi katika eneo salama wakamilika
Wanafunzi pamoja na wazazi wa eneo la burangi magarini kaunti ya kilifi walipata afueni baada ya ujenzi wa shule ya Msingi ya burangi kukamilika katika eneo tofauti na ilipokuwa ambalo ni salama