Upanzi wa miti Kericho
Kama njia Moja ya kuafikia malengo ya serikali ya upanzi wa miti Billioni kumi na Tano ifikapo mwaka wa 2032 wanafunzi na walimu wa chuo Cha kiufundi cha Kericho Township waliojitokeza kupanda Miche kando kando ya Barabara kuu ya Kericho kuelekea Nakuru