Viongozi na wakazi wa Trans Nzoia wamkashifu Cherargei
Viongozi na wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wamelaani matamshi ya hivi karibuni ya Seneta wa Nandi, Samson Cherargei, aliyemshutumu Gavana George Natembeya kwa kuwa kiongozi wa kikabila ambaye hastahili kushikilia wadhifa wa uongozi