Viongozi wa chama cha Jubilee, Mombasa wamkosoa Rigathi Gachagua kutokana na matamshi yake.
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezidi kukosolewa kutokana na matamshi yake ya hivi punde. Viongozi wa chama cha Jubilee kaunti ya Mombasa wametaja matamshi hayo kama ya kugawanya taifa. Francis Mtalaki na taarifa zaidi.