Viongozi wa Kenya Kwanza wamsuta Uhuru
Viongozi wa Kenya Kwanza wamemkashifu rais mstaafu uhuru kenyatta kwa kile wanasema ni kuingilia siasa na kuwachochea vijana. Wakizungumza katika ibada eneo bunge la malava kaunti ya kakamega, viongozi hao wakiongozwa na msaidizi wa rais william ruto, farouk kibet, walisema baadhi ya changamoto ambazo wakenya wanapitia kwa sasa zilisababishwa na kenyatta alipokuwa rais.