Viongozi waendelea kutoa rambirambi kutokana na kifo cha Charles Were
Viongozi mbalimbali wanazidi kutoa risala za rambirambi kutokana na kifo cha mbunge wa Kasipul, Charles Ong’ondo Were, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi hapo jana karibu na mzunguko wa makafani ya city hapa jijini Nairobi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya