Viutravel imetia saini mkataba na AAR
Shirika la ViuTravel limetia saini mkataba na kibiashara na kampuni ya bima ya AAR.
Ushirikiano huo unamaanisha kuwa viu travel ndio pekee itakayofanikisha safari za kampuni hiyo ya bima. wakati wa hafla hiyo, AAR Insurance iliwazawadi maajenti bora zaidi kwa kugharamia safari ya wiki moja hadi nchi za Singapore na Malaysia. washindi wataondoka nchini kwa hisani ya viutravel, jumanne tarehe 6 mwezi huu.