Wadau wa kiufundi wa CAF Walter Steenbook na Daniel Amokachi waizungumzia timu ya Rising Stars
Baada ya kukiaga kipute cha taifa bingwa barani Afrika kwa wachezaji walio chini ya umri wa miaka 20 katika hatua ya makundi jijini Cairo Misri, Wadau wa kiufundi wa CAF Walter Steenbook na Daniel Amokachi wameizungumzia timu ya taifa ya Kenya Rising Stars.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya